# kama mke wa mtu ataasi na kuafanya dhambi dhidi ya mume wake Hiki ni kituambacho kinaweza kutokea, BWANA anamwambia Musa jinsi ya kufanya iwapo kama kitu hiki kitatokea. # Mke wa mtu ataasi kama mke wa mtu si mwamiinifu # na kufanya dhdambi dhidi ya mume wake "akafanya dhambi dhidi ya mume wake kwa kulala na mwanamume mwingine"