sw_tn/num/05/11.md

337 B

kama mke wa mtu ataasi na kuafanya dhambi dhidi ya mume wake

Hiki ni kituambacho kinaweza kutokea, BWANA anamwambia Musa jinsi ya kufanya iwapo kama kitu hiki kitatokea.

Mke wa mtu ataasi

kama mke wa mtu si mwamiinifu

na kufanya dhdambi dhidi ya mume wake

"akafanya dhambi dhidi ya mume wake kwa kulala na mwanamume mwingine"