sw_tn/num/05/05.md

470 B

dhambi yeyote ambayo watu hufanyiana

"dhambi yeyote ambayo watu hufanya dhidi ya mwingine"

mtu huyo atakuwa na hatia kwangu

"mtu huyo atakuwa amenikosea mimi pia"

malipo ya hatia yake

"kiwango sahihi cha fedha kwa dhambi yake"

na kuongeza kwenye malipo hayo sehemu ya tano zaidi

sehemu ya tano zaidi. Hii inamaanisha kuwa mtu atalipa sehemu ya tano zaidi ya malipo anayotakiwa kulipa.

sehemu ya tano

Sehemu ya tano ni sehemu moja kati ya vitu vitano.