sw_tn/num/05/05.md

20 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# dhambi yeyote ambayo watu hufanyiana
"dhambi yeyote ambayo watu hufanya dhidi ya mwingine"
# mtu huyo atakuwa na hatia kwangu
"mtu huyo atakuwa amenikosea mimi pia"
# malipo ya hatia yake
"kiwango sahihi cha fedha kwa dhambi yake"
# na kuongeza kwenye malipo hayo sehemu ya tano zaidi
sehemu ya tano zaidi. Hii inamaanisha kuwa mtu atalipa sehemu ya tano zaidi ya malipo anayotakiwa kulipa.
# sehemu ya tano
Sehemu ya tano ni sehemu moja kati ya vitu vitano.