# dhambi yeyote ambayo watu hufanyiana "dhambi yeyote ambayo watu hufanya dhidi ya mwingine" # mtu huyo atakuwa na hatia kwangu "mtu huyo atakuwa amenikosea mimi pia" # malipo ya hatia yake "kiwango sahihi cha fedha kwa dhambi yake" # na kuongeza kwenye malipo hayo sehemu ya tano zaidi sehemu ya tano zaidi. Hii inamaanisha kuwa mtu atalipa sehemu ya tano zaidi ya malipo anayotakiwa kulipa. # sehemu ya tano Sehemu ya tano ni sehemu moja kati ya vitu vitano.