sw_tn/num/04/49.md

20 lines
543 B
Markdown

# Kwa agizo la BWANA
"Kama vile BWANA alivyoagiza"
# na kutunza kumbukumbu ya kazi ambayo kila mmoja anaweza kufanya.alimwesabu kila mwanaume kwa jukumu alilofanya
Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja na vimetumka pamoja ili kusisitiza jinsi Musa alivyowahesabu wanaume wote.
# kile ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kufanya
"kwa aina ya kazi ambayo alikuwa amemwagiza kila mmoja kufanya"
# anaweza kufanya
"ambayo angekuwa nayo"
# walitii ambacho BWANA alikuwa amewaagiza
kiwakilishi cha "wa" na "me" kinamlenga Musa na Haruni.