# Kwa agizo la BWANA "Kama vile BWANA alivyoagiza" # na kutunza kumbukumbu ya kazi ambayo kila mmoja anaweza kufanya.alimwesabu kila mwanaume kwa jukumu alilofanya Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja na vimetumka pamoja ili kusisitiza jinsi Musa alivyowahesabu wanaume wote. # kile ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kufanya "kwa aina ya kazi ambayo alikuwa amemwagiza kila mmoja kufanya" # anaweza kufanya "ambayo angekuwa nayo" # walitii ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kiwakilishi cha "wa" na "me" kinamlenga Musa na Haruni.