sw_tn/num/04/49.md

543 B

Kwa agizo la BWANA

"Kama vile BWANA alivyoagiza"

na kutunza kumbukumbu ya kazi ambayo kila mmoja anaweza kufanya.alimwesabu kila mwanaume kwa jukumu alilofanya

Virai hivi viwili vinamaanishakitu kimoja na vimetumka pamoja ili kusisitiza jinsi Musa alivyowahesabu wanaume wote.

kile ambacho BWANA alikuwa amewaagiza kufanya

"kwa aina ya kazi ambayo alikuwa amemwagiza kila mmoja kufanya"

anaweza kufanya

"ambayo angekuwa nayo"

walitii ambacho BWANA alikuwa amewaagiza

kiwakilishi cha "wa" na "me" kinamlenga Musa na Haruni.