sw_tn/num/04/38.md

467 B

Uzao wa Gerishoni

"Wana wa kiume wa uzao wa Gerishoni"

Uzao wa Gerishoni walihesabiwa

"Musa na Haruni waliwahesabi wana wa uzao wa Gerishoni

Kuanzia umri wa miaka thelathini hadi umri wa miaka hamsini

"kuanzia umri wa miaka 30 hadi umri wa miaka 50"

kwa kila mmoja anayetakiwa kuungana na kundi

Kila mmoja aliyetakiwa kuungana na kundi"

walihesabiwa kufuata koo zao

"ambao Musa na Hruni waliwahesabu kwa kufuata koo zao"

2,600

"wanaume 2600"