sw_tn/num/04/38.md

24 lines
467 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Uzao wa Gerishoni
"Wana wa kiume wa uzao wa Gerishoni"
# Uzao wa Gerishoni walihesabiwa
"Musa na Haruni waliwahesabi wana wa uzao wa Gerishoni
# Kuanzia umri wa miaka thelathini hadi umri wa miaka hamsini
"kuanzia umri wa miaka 30 hadi umri wa miaka 50"
# kwa kila mmoja anayetakiwa kuungana na kundi
Kila mmoja aliyetakiwa kuungana na kundi"
# walihesabiwa kufuata koo zao
"ambao Musa na Hruni waliwahesabu kwa kufuata koo zao"
# 2,600
"wanaume 2600"