# Uzao wa Gerishoni "Wana wa kiume wa uzao wa Gerishoni" # Uzao wa Gerishoni walihesabiwa "Musa na Haruni waliwahesabi wana wa uzao wa Gerishoni # Kuanzia umri wa miaka thelathini hadi umri wa miaka hamsini "kuanzia umri wa miaka 30 hadi umri wa miaka 50" # kwa kila mmoja anayetakiwa kuungana na kundi Kila mmoja aliyetakiwa kuungana na kundi" # walihesabiwa kufuata koo zao "ambao Musa na Hruni waliwahesabu kwa kufuata koo zao" # 2,600 "wanaume 2600"