sw_tn/num/04/31.md

16 lines
340 B
Markdown

# Huu ndio wajibu wao
"Huu" inamaanisha kile ambacho BWANA atasema baadaye.
# mbao za masikani, mataruma, ... na vifaa vyake.
Kiwakilishi cha "zake" kinamaanisha nguzo za ua.
# nguzo za ua zinazozunguka, nguzo, mbao ... na kamba zake
Tazama 4:31
# Waoredhesha kwa majina na majukumu yao
"Uorodheshe kila jina la mtu na jukumu lake"