sw_tn/num/04/31.md

340 B

Huu ndio wajibu wao

"Huu" inamaanisha kile ambacho BWANA atasema baadaye.

mbao za masikani, mataruma, ... na vifaa vyake.

Kiwakilishi cha "zake" kinamaanisha nguzo za ua.

nguzo za ua zinazozunguka, nguzo, mbao ... na kamba zake

Tazama 4:31

Waoredhesha kwa majina na majukumu yao

"Uorodheshe kila jina la mtu na jukumu lake"