# Huu ndio wajibu wao "Huu" inamaanisha kile ambacho BWANA atasema baadaye. # mbao za masikani, mataruma, ... na vifaa vyake. Kiwakilishi cha "zake" kinamaanisha nguzo za ua. # nguzo za ua zinazozunguka, nguzo, mbao ... na kamba zake Tazama 4:31 # Waoredhesha kwa majina na majukumu yao "Uorodheshe kila jina la mtu na jukumu lake"