sw_tn/num/04/24.md

16 lines
390 B
Markdown

# Hii ndiyo kazi ya koo za ... wanachotumikia na wanachobeba
Hi ni sentensi inayofafanua kile kinachoelezwa na mistari inayofuata.
# Wagerishoni
Tazama 3:21
# vifuniko vvya ngozi ya pomboo ambavyo vipo juu yake
"ni kifuniko cha nje kiinachotengenezwa kwa ngozi za pomboo"
# Chochote kinachotakiwa kufanywa kutokana na vitu hivi
"kazi yeyote ambyo inahitajika kwa ajili ya kazi hii."