# Hii ndiyo kazi ya koo za ... wanachotumikia na wanachobeba Hi ni sentensi inayofafanua kile kinachoelezwa na mistari inayofuata. # Wagerishoni Tazama 3:21 # vifuniko vvya ngozi ya pomboo ambavyo vipo juu yake "ni kifuniko cha nje kiinachotengenezwa kwa ngozi za pomboo" # Chochote kinachotakiwa kufanywa kutokana na vitu hivi "kazi yeyote ambyo inahitajika kwa ajili ya kazi hii."