sw_tn/num/04/24.md

390 B

Hii ndiyo kazi ya koo za ... wanachotumikia na wanachobeba

Hi ni sentensi inayofafanua kile kinachoelezwa na mistari inayofuata.

Wagerishoni

Tazama 3:21

vifuniko vvya ngozi ya pomboo ambavyo vipo juu yake

"ni kifuniko cha nje kiinachotengenezwa kwa ngozi za pomboo"

Chochote kinachotakiwa kufanywa kutokana na vitu hivi

"kazi yeyote ambyo inahitajika kwa ajili ya kazi hii."