sw_tn/num/04/17.md

16 lines
422 B
Markdown

# Wakohathi
Tazama 3:27
# Kuondolewa kati ya Walawi
"kufanya chochote ambacho kitanifanya mimi kuwatoa kabisa miongoni mwa Walawi."
# kwa kufanya hivi
Kirahi hiki kinalenga kitu ambacho BWANA atasma baadaye. Musa atawalinda Wakohathi kwa kutowaruhusukuingia ndani na kuona mahali patakatifu.
# kazi maalumu ya kufanya, kila mmoja
virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile na vimeunganishwa ili kutoa msisitizo.