# Wakohathi Tazama 3:27 # Kuondolewa kati ya Walawi "kufanya chochote ambacho kitanifanya mimi kuwatoa kabisa miongoni mwa Walawi." # kwa kufanya hivi Kirahi hiki kinalenga kitu ambacho BWANA atasma baadaye. Musa atawalinda Wakohathi kwa kutowaruhusukuingia ndani na kuona mahali patakatifu. # kazi maalumu ya kufanya, kila mmoja virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile na vimeunganishwa ili kutoa msisitizo.