sw_tn/num/04/17.md

422 B

Wakohathi

Tazama 3:27

Kuondolewa kati ya Walawi

"kufanya chochote ambacho kitanifanya mimi kuwatoa kabisa miongoni mwa Walawi."

kwa kufanya hivi

Kirahi hiki kinalenga kitu ambacho BWANA atasma baadaye. Musa atawalinda Wakohathi kwa kutowaruhusukuingia ndani na kuona mahali patakatifu.

kazi maalumu ya kufanya, kila mmoja

virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile na vimeunganishwa ili kutoa msisitizo.