sw_tn/num/04/07.md

28 lines
552 B
Markdown

# mikate ya wonyesho
Mikate hii inawakilisha uwepo wa BWANA. "mikate ya uwepo wa BWANA"
# Juu yake wataweka
Kiwakilishi cha "yake" kinamaanisha ile nguo ya rangi ya samawi.
# sahani, vijiko, mabakuli ya kumiminia
"mabakuli navikombe vinavyotumka kwa kumiminia sadaka ya vinywaji"
# Watavifunika
Neno "vi" inamaanisha yale masahani, vijiko, mabakuli na vikombe."
# Mikate itakuwepo daima
"Lazima kuwepo na mikate daima"
# kitambaa cha rangi nyekundu
"kitambaa chekundu"
# kuweka miti ya kubebea
"kuweka miti kwenye pete pembezoni mwa meza"