# mikate ya wonyesho Mikate hii inawakilisha uwepo wa BWANA. "mikate ya uwepo wa BWANA" # Juu yake wataweka Kiwakilishi cha "yake" kinamaanisha ile nguo ya rangi ya samawi. # sahani, vijiko, mabakuli ya kumiminia "mabakuli navikombe vinavyotumka kwa kumiminia sadaka ya vinywaji" # Watavifunika Neno "vi" inamaanisha yale masahani, vijiko, mabakuli na vikombe." # Mikate itakuwepo daima "Lazima kuwepo na mikate daima" # kitambaa cha rangi nyekundu "kitambaa chekundu" # kuweka miti ya kubebea "kuweka miti kwenye pete pembezoni mwa meza"