sw_tn/num/04/07.md

552 B

mikate ya wonyesho

Mikate hii inawakilisha uwepo wa BWANA. "mikate ya uwepo wa BWANA"

Juu yake wataweka

Kiwakilishi cha "yake" kinamaanisha ile nguo ya rangi ya samawi.

sahani, vijiko, mabakuli ya kumiminia

"mabakuli navikombe vinavyotumka kwa kumiminia sadaka ya vinywaji"

Watavifunika

Neno "vi" inamaanisha yale masahani, vijiko, mabakuli na vikombe."

Mikate itakuwepo daima

"Lazima kuwepo na mikate daima"

kitambaa cha rangi nyekundu

"kitambaa chekundu"

kuweka miti ya kubebea

"kuweka miti kwenye pete pembezoni mwa meza"