sw_tn/num/04/05.md

16 lines
398 B
Markdown

# Wakati kambi inajiandaa
Neno "kambi" linamaanisha watu wote waliokambini. "Wakati watu wanapojiandaa"
# kusonga mbele
"kwenda kwenye eneo lingne"
# kulifunika sanduku la ushuhuda kwa .. hilo
Kiwakilishi "hilo" kinamaanisha pazia ambalo lilitenganisha kati ya mahali patakatifu na patakatifu pa patakatifu.
# watachomeka hiyo miti
"chomeka hiyo miti kwenye hizo peete pembeni za sanduku.