# Wakati kambi inajiandaa Neno "kambi" linamaanisha watu wote waliokambini. "Wakati watu wanapojiandaa" # kusonga mbele "kwenda kwenye eneo lingne" # kulifunika sanduku la ushuhuda kwa .. hilo Kiwakilishi "hilo" kinamaanisha pazia ambalo lilitenganisha kati ya mahali patakatifu na patakatifu pa patakatifu. # watachomeka hiyo miti "chomeka hiyo miti kwenye hizo peete pembeni za sanduku.