sw_tn/num/04/05.md

398 B

Wakati kambi inajiandaa

Neno "kambi" linamaanisha watu wote waliokambini. "Wakati watu wanapojiandaa"

kusonga mbele

"kwenda kwenye eneo lingne"

kulifunika sanduku la ushuhuda kwa .. hilo

Kiwakilishi "hilo" kinamaanisha pazia ambalo lilitenganisha kati ya mahali patakatifu na patakatifu pa patakatifu.

watachomeka hiyo miti

"chomeka hiyo miti kwenye hizo peete pembeni za sanduku.