sw_tn/num/03/21.md

477 B

Zilitokana na Gerishoni

Hapa mwandishio anatumia neno "kutokana" na kuonyesha kama unaotoka kwa. "Zinatoka kwa Gerishoni"

Walibini ... Washimei ... Wagerishoni

Walibini n a Washimei ni majina ya koo waliotajwa kwa kufuata vichwa vya familia zao. Wagerishoni ni jina la watu wanaotokanana Gerishoni.

Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa

Musa aliwahesabu wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi.

7,500

elfu saba na mia tano