# Zilitokana na Gerishoni Hapa mwandishio anatumia neno "kutokana" na kuonyesha kama unaotoka kwa. "Zinatoka kwa Gerishoni" # Walibini ... Washimei ... Wagerishoni Walibini n a Washimei ni majina ya koo waliotajwa kwa kufuata vichwa vya familia zao. Wagerishoni ni jina la watu wanaotokanana Gerishoni. # Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa Musa aliwahesabu wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi. # 7,500 elfu saba na mia tano