sw_tn/num/03/21.md

16 lines
477 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zilitokana na Gerishoni
Hapa mwandishio anatumia neno "kutokana" na kuonyesha kama unaotoka kwa. "Zinatoka kwa Gerishoni"
# Walibini ... Washimei ... Wagerishoni
Walibini n a Washimei ni majina ya koo waliotajwa kwa kufuata vichwa vya familia zao. Wagerishoni ni jina la watu wanaotokanana Gerishoni.
# Wanaume wote wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa
Musa aliwahesabu wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi.
# 7,500
elfu saba na mia tano