sw_tn/num/03/14.md

365 B

Wahesabu uzao

"Wahesabu wazao wa kiume"

katika nyumba za koo zao

Neno "nyumba za koo zao" linamaanisha "wazao wa ukoo" nineno lingine lenye maana ya koo zao." au kwa kufuata koo zao.

Kufuata maelekezo ya BWANA, kama alivyoamriwa kufanya.

Kimsingi virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekilke na vimetumika pamoja ili kutia msisitizo kuwa alimtii BWANA.