# Wahesabu uzao "Wahesabu wazao wa kiume" # katika nyumba za koo zao Neno "nyumba za koo zao" linamaanisha "wazao wa ukoo" nineno lingine lenye maana ya koo zao." au kwa kufuata koo zao. # Kufuata maelekezo ya BWANA, kama alivyoamriwa kufanya. Kimsingi virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekilke na vimetumika pamoja ili kutia msisitizo kuwa alimtii BWANA.