sw_tn/num/03/14.md

12 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wahesabu uzao
"Wahesabu wazao wa kiume"
# katika nyumba za koo zao
Neno "nyumba za koo zao" linamaanisha "wazao wa ukoo" nineno lingine lenye maana ya koo zao." au kwa kufuata koo zao.
# Kufuata maelekezo ya BWANA, kama alivyoamriwa kufanya.
Kimsingi virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekilke na vimetumika pamoja ili kutia msisitizo kuwa alimtii BWANA.