sw_tn/num/03/03.md

565 B

Wale makuhani waliokuwa wametiwa mafuta na kuwekwa wakfu.

"wale makuhani ambao Musa aliwatia mafuta na kuwaweka wakfu"

Nadabu ... Abihu ... Ithamari.

Tazama 3:1

walikufa mbele za BWANA

Kirai cha "walikufa" kinamaanishsa kufa ghafula. "Walikufa ghafula mbele za BWANA"

Mbele za BWANA

iNamaanisha uwepo wa BWANA, kwa maana ya kwamba BWANA aliona kila kitu kilichokuwa kikitokea. Au "Katika uwepo wa BWANA"

Walipomtolea moto usiokubalika

Neno "moto" limetumika kumaanisha "uvumba wa kufukiza." Walichoma uvumba wa kufukiza ambao BWANA hakuukubali."