sw_tn/num/03/03.md

20 lines
565 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wale makuhani waliokuwa wametiwa mafuta na kuwekwa wakfu.
"wale makuhani ambao Musa aliwatia mafuta na kuwaweka wakfu"
# Nadabu ... Abihu ... Ithamari.
Tazama 3:1
# walikufa mbele za BWANA
Kirai cha "walikufa" kinamaanishsa kufa ghafula. "Walikufa ghafula mbele za BWANA"
# Mbele za BWANA
iNamaanisha uwepo wa BWANA, kwa maana ya kwamba BWANA aliona kila kitu kilichokuwa kikitokea. Au "Katika uwepo wa BWANA"
# Walipomtolea moto usiokubalika
Neno "moto" limetumika kumaanisha "uvumba wa kufukiza." Walichoma uvumba wa kufukiza ambao BWANA hakuukubali."