# Wale makuhani waliokuwa wametiwa mafuta na kuwekwa wakfu. "wale makuhani ambao Musa aliwatia mafuta na kuwaweka wakfu" # Nadabu ... Abihu ... Ithamari. Tazama 3:1 # walikufa mbele za BWANA Kirai cha "walikufa" kinamaanishsa kufa ghafula. "Walikufa ghafula mbele za BWANA" # Mbele za BWANA iNamaanisha uwepo wa BWANA, kwa maana ya kwamba BWANA aliona kila kitu kilichokuwa kikitokea. Au "Katika uwepo wa BWANA" # Walipomtolea moto usiokubalika Neno "moto" limetumika kumaanisha "uvumba wa kufukiza." Walichoma uvumba wa kufukiza ambao BWANA hakuukubali."