sw_tn/num/02/25.md

16 lines
376 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.
# kambi ya kikosi cha Dani
Hii inamaanisha kikosi kizima cha Dani, Asheri, na Naftali ambao wako mahali pa Dani. "Kikosi ambacho kinaweka kambi mahali pa Dani.
# Ahiezeri mwana wa Amishadai
Tazama 1:12.
# 62,700
Wanaume 62,700