# Taarifa kwa ujumla BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania. # kambi ya kikosi cha Dani Hii inamaanisha kikosi kizima cha Dani, Asheri, na Naftali ambao wako mahali pa Dani. "Kikosi ambacho kinaweka kambi mahali pa Dani. # Ahiezeri mwana wa Amishadai Tazama 1:12. # 62,700 Wanaume 62,700