sw_tn/num/02/25.md

376 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

kambi ya kikosi cha Dani

Hii inamaanisha kikosi kizima cha Dani, Asheri, na Naftali ambao wako mahali pa Dani. "Kikosi ambacho kinaweka kambi mahali pa Dani.

Ahiezeri mwana wa Amishadai

Tazama 1:12.

62,700

Wanaume 62,700