sw_tn/num/01/53.md

322 B

Masikani ya amriza agano

Tazama 1:50

Ili kwamba hasira yangu isije ikawaka juu ya wana wa Israeli

"ili kwamba katika hasira yangu nisije nikawaadhibu watu wa Israeli"

BWANA aliagiza kupitia Musa

BWANA alikuwa amemwagiza Musa mambo yote ambayo Waisraeli walipaswa kufanya, na ndipo Musa alipowaagiza Waisraeli.