# Masikani ya amriza agano Tazama 1:50 # Ili kwamba hasira yangu isije ikawaka juu ya wana wa Israeli "ili kwamba katika hasira yangu nisije nikawaadhibu watu wa Israeli" # BWANA aliagiza kupitia Musa BWANA alikuwa amemwagiza Musa mambo yote ambayo Waisraeli walipaswa kufanya, na ndipo Musa alipowaagiza Waisraeli.