sw_tn/num/01/53.md

12 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Masikani ya amriza agano
Tazama 1:50
# Ili kwamba hasira yangu isije ikawaka juu ya wana wa Israeli
"ili kwamba katika hasira yangu nisije nikawaadhibu watu wa Israeli"
# BWANA aliagiza kupitia Musa
BWANA alikuwa amemwagiza Musa mambo yote ambayo Waisraeli walipaswa kufanya, na ndipo Musa alipowaagiza Waisraeli.