sw_tn/num/01/50.md

16 lines
324 B
Markdown

# Hema la amri za agano
Lile hema pia lilitwa kwa jina hili kwa sababu lile sanduku lenye sheria liliwekwa ndani yake.
# vyote vilivyomo
Neno "mo" inamaanisha masikani
# Walawi watalazimika kuibeba masikani
Mtakaposafari, Walawi wataibebba masikani
# Kuzitengeneza kambi zinazoizunguka
Wataweka kambi zao kuizunguka.