sw_tn/num/01/50.md

324 B

Hema la amri za agano

Lile hema pia lilitwa kwa jina hili kwa sababu lile sanduku lenye sheria liliwekwa ndani yake.

vyote vilivyomo

Neno "mo" inamaanisha masikani

Walawi watalazimika kuibeba masikani

Mtakaposafari, Walawi wataibebba masikani

Kuzitengeneza kambi zinazoizunguka

Wataweka kambi zao kuizunguka.