# Hema la amri za agano Lile hema pia lilitwa kwa jina hili kwa sababu lile sanduku lenye sheria liliwekwa ndani yake. # vyote vilivyomo Neno "mo" inamaanisha masikani # Walawi watalazimika kuibeba masikani Mtakaposafari, Walawi wataibebba masikani # Kuzitengeneza kambi zinazoizunguka Wataweka kambi zao kuizunguka.