sw_tn/neh/11/19.md

308 B

walinzi wa malango

watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti upatikanaji wa jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1.

Akubu....Talmoni.....Siha.....Gishpa

Haya ni majina ya wanaume

Ofeli

Hili ni jina la eneo.