# walinzi wa malango watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti upatikanaji wa jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1. # Akubu....Talmoni.....Siha.....Gishpa Haya ni majina ya wanaume # Ofeli Hili ni jina la eneo.