sw_tn/neh/10/01.md

641 B

Katika nyaraka zilizofunikwa walikuwa

Unaweza kuhitaji kujaza maneno yasiyopo. "Katika nyaraka zilizofunikwa zilikuwa majina ya watu wafuatayo"

nyaraka zilizofunikwa

Nyaraka zimefunikwa baada ya majina kusainiwa kwenye nyaraka.

Nehemia

Watu wengine wanaamini kwamba Nehemia aliandika kitabu hiki (angalia UDB) na anajisema mwenyewe kama yeye ni mtu mwingine kwa sababu hii ni orodha rasmi.

Hakalia

Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 1: 1.

Sedekia, Seraya......Yeremia, Pashuri, Amaria

Haya ni majina ya wanaume

Azaria

Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 3:22.

Malkiya

Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 3:11.