# Katika nyaraka zilizofunikwa walikuwa Unaweza kuhitaji kujaza maneno yasiyopo. "Katika nyaraka zilizofunikwa zilikuwa majina ya watu wafuatayo" # nyaraka zilizofunikwa Nyaraka zimefunikwa baada ya majina kusainiwa kwenye nyaraka. # Nehemia Watu wengine wanaamini kwamba Nehemia aliandika kitabu hiki (angalia UDB) na anajisema mwenyewe kama yeye ni mtu mwingine kwa sababu hii ni orodha rasmi. # Hakalia Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 1: 1. # Sedekia, Seraya......Yeremia, Pashuri, Amaria Haya ni majina ya wanaume # Azaria Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 3:22. # Malkiya Hili ni jina la mtu. Tafsiri katika 3:11.