sw_tn/neh/09/38.md

312 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Kwa sababu ya yote haya

kwa sababu watu hawakuitii na Bwana alikuwa amewaadhibu

Kwenye hati iliyofungwa ni majina

Msomaji anapaswa kuelewa kwamba wanaume waliandika majina yao kwenye hati kabla ya kufungwa