sw_tn/neh/09/38.md

12 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Kwa sababu ya yote haya
kwa sababu watu hawakuitii na Bwana alikuwa amewaadhibu
# Kwenye hati iliyofungwa ni majina
Msomaji anapaswa kuelewa kwamba wanaume waliandika majina yao kwenye hati kabla ya kufungwa